kocha wa Riadha wa Francis John Afaliki

 Aliyewahi kuwa kocha wa Riadha wa Francis John, Alphonse Simbu, atazikwa nyumbani kwao Arusha leo Aprili 26.


Francis alifariki katika ajali ya Gari Jumamosi iliyopita jioni.

Simbu amewaambia Mwananchi kuwa mazishi ya kocha huyo yatafanywa leo mchana nyumbani kwake Arusha.

Mbali ya kuwa kocha, Francis  aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Riadha Tanzania